| Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa jana |
| Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi |
| Mkuu wa shirika la mpango
la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari
lililotolewa na UNDP. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |