Friday, May 30, 2014

MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA NA KIONGOZI WA UVCCM TAIFA MH. MAKONDA LEO ALIPOKUTANA NA BALOZI WETU PARIS LIVE!!

MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA NA KIONGOZI WA UVCCM TAIFA MH. MAKONDA LEO ALIPOKUTANA NA BALOZI WETU PARIS LIVE!!
Leo imekuwa siku njema hapa Ufaransa. Nimefanya vikao na Wakurugenzi wa Wizara tatu tofauti na nikamalizia na balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa. Hakika nimejifunza mambo mengi hasa kwa boss wa uchaguzi Nchini Ufaransa.