Thursday, May 29, 2014

Maalim Seif atembelea eneo la Mji Mkongwe Zanzibar kuangalia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Bw. Issa Sarboko Makarani, akitoa ufafanuzi mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt, katika eneo la Shangani Mjini Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt, katika eneo la Shangani Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Bw. Issa Sarboko Makarani, akitoa ufafanuzi mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt, katika eneo la Shangani Mjini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika moja ya vyumba vya hoteli mpya ya Grand Hyatt, inayoendelea na ujenzi wake, katika eneo la Shangani Mjini Zanzibar.(Picha na Salmin Said, OMKR)