Saturday, May 24, 2014

CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na fistula



CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na fistula
Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Mmoja wa wasanii wa kundi la "Mpoto Theater"akigawa vipeperushi kwa Mariam Khamis vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Wakazi wa Mbagala mwisho jijini Dar es Salaam Bi.Fatuma Ali(kushoto)na Khadija Rajabu wakiwa wakionesha vipeperushi vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Kikundi cha wasanii wa muziki wa kiasili cha "Mpoto Theater"wakitumbuiza na kuonesha vipeperushi vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani,zilizoandaliwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Msaani wa muziki wa kugani Mrisho Mpoto akitoa elimu kwa wakazi wa Mbagala rangi tatu kwa njia ya kugawa vipeperushi vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Wafanyabiashara ndogondogo wa Mbagala rangi tatu jijini Dar es Salaam Abdalla Juma(kushoto) Albart Mhogo(kulia)wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa "Fistula inatibia" wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI