Mratibu wa Bavicha Taifa Mheshimiwa Rafiki rufunga akifungua semina kwa viongozi wa Bavicha Mkoa wa Mwanza leo katika ukumbi wa Kivulini Isamilo.
Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mwanza Liberatus Bonventura Mulebeke akimkaribisha Mgeni rasmi Mratibu wa Bavicha Taifa Kufungua semina hiyo leo.
Peoples Power.....
Mlezi wa Bavicha Mkoa wa Mwanza Dr. Vicent Mhada
Wanasilikiza semina inavyokwenda..
Walezi wa Bavicha Mkoa wa Mwanza...
Katibu wa Bavicha Mkoa wa Mwanza akimkaribisha Mwenyekiti wake ili aweze kumkaribisha Mgeni rasmi ili aweze kufungua semina kwa viongozi wa Bavicha Mkoa wa Mwanza.
Viongozi wa Bavicha Mkoa wa Mwanzaa wakionekana kwa picha..
Semina ikiendeleeaaaaaa.
Mwezeshaji wa semina ya Bavicha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Chadema Mzee Silvesta Masinde katikati akiangalia mwenendo wa wajumbe kujitambulisha.
Meza kuu wa Viongozi wa Chadema Mkoa.