Friday, October 12, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt Wakipata Maelezo.....



 Pichani Mafundi wakiwa tayari kuanza kazi kwa kutumia Kijiko aina ya Hyundai kikiwa kimezuia Waya wa Umeme kutoka katika fukwe za Fumba,utakaolazwa katikati ya Bahari hadi Ras-Kiromoni Tanzania bara,kazi hiyo itachukua siku kumi na moja,mpaka kumalizika kazi hiyo inayofanywa na Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan
    Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mradi wa ESBI,pia Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa MCC Johan Swan,wa Ireland(kushoto) alipofika kuuzindua Ulazaji wa Waya wa Umeme katika ufukwe wa bahari ya Fumba hadi Ras -Kiromoni Tanzania Bara
  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mradi wa ESBI,pia Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa MCC Johan Swan,wa Ireland(kushoto) alipofika kuuzindua Ulazaji wa Waya wa Umeme katika ufukwe wa bahari ya Fumba hadi Ras -Kiromoni Tanzania Bara,(wa pili kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar