Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kabla ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia zawadi ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Edmonton, Dkt Hassan Katalambula na MC wa shughuli hiyo Dkt Sophie Yohani katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na kamati ya maandalizi katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wasanii waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012.
PICHA NA IKULU