Tuesday, October 09, 2012

MAMIA YA WANANCHI IRINGA WAFIKA KUMSIKILIZA MSIGWA,NASSARI


Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango katika mkutano huo mwembetogwa Iringa leo 

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa akiwa Pamoja na Joshua Nasari Mb Arumeru 

Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo 

Mbunge msigwa akihutubia