Tuesday, October 16, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AKUTANA NA NAIBU MWAKILISHI WA BIASHARA KATIKA OFISI YA RAIS WA MAREKANI, BALOZI DEMETRIOS MARANTIS, IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo leo Oktoba 16, 2012.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais