Tuesday, October 02, 2012

MAAFA MAKUBWA HONG KONG BOTI YAZAMA, WATU 36 WAPOTEZA MAISHA. from MO BLOG



Ajali isiyotegemewa imetokea baina ya boti mbili huko Hong Kong na kusababisha vifo vya watu 36 mpaka sasa.
Moja ya boti hizo ilikuwa imebeba abiria zaidi ya 120 wakati ilipozama nusu kufuatia kugongana na boti nyingine usiku wa kuamkia leo katika eneo la kisiwa cha Lamma.
Zoezi kubwa la kuokoa watu likishirikisha vyombo vya angani na majini linaendelea.