Friday, October 12, 2012

KMKM YAITUNGUA MTENDE MABAO 2-1


Wachezaji Ali Manzi ( No.11 ) wa timu ya Mtende na Aziz Aziz (No.13) wa timu ya KMKM wakichuana kwenye mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar. KMKM iliilaza Mtende mabao 2 kwa 1. Picha na Martin Kabemba.