
Hivi ndivyo Daladala ilivyo gongwa na pick up

Kioo cha daladala kikiwa kimebomoka bomoka baada ya ajali

Hili Ndilo Gari aina ya Pick up ambalo ndilo limesababisha ajali hiyo

Baadhi ya watu wakiwa wanakuja kushuhudia tukio

Watu wakiwa wameongezeka kushuhudia tukio

**********************************
Ajali hii imetokea muda huu maeneo ya Mafiati Jijini Mbeya ambapo imesababishwa na Gari aina ya Pick up ambayo ilikuwa katika Mwendo kasi sana na kushindwa kuhimili mwendo kasi wake kisha Kugonga Hiace ambayo ilikuwa imetoka Iyunga kuelekea Mwanjelwa. Katika ajali hii watu watatu wamejeruhiwa.
PICHA ZOTE NA : www.mbeyayetu.blogspot.com