Kutokana na unabii pamoja na maono aliyo nayo mtumishi wa mungu nakiongozi wa makanisa ya End Time and Havesting askofu Boaz Sollo aliyasema hayo mwezi mmoja kabla ya kutokea kwa matukio ya uvunjifu wa amani nakauli aliyoikumbusha juma lililopita katika ibaada iliyo fanyika katika ukumbi wa IDYDC baada ya kuona ishara ya uvunjifu wa amani hususani uchomaji wa makanisa hali iliyotokea visiwani Zanzibar na Dar es salam.
Ni muda mfupi umepita tokea askofu boaz sollo ameelezea suala hilo na hivyo aliwataka wakristo wote nchini hasa wale waombaji kuungana katika maombi ili kuombea nchi ya Tanzania, lakini pia kwa waumini wa huduma ya Overcomers Power Centre kuombea ujenzi wa nyumba ya bwana unaotarajiwa kuanza hivi karibuni katika eneo la Zizi la ng`ombe manispaa ya iringa mjini ili wakazi wa mkoa wa iringa na maeneo jirani wapate mahali pakuabudia.
|
Askofu Boaz Sollo akifundisha umuhim wa kuombe Taifa la Tanzania |
|
Washirika wa Overcomers Power Centre wakiahidi kuliombnea kanisa la Tanzania |
|
Askofu Boaz Sollo akifanya maombezi kwa wagonjwa na wenye shida mbalimbali |
|
Waumini |