1.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Stanslaus Mulongo akimkabidhi cheti cha utendaji bora wa kazi askari wa jeshi la Polisi mkoani hapa Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Jane Warioba wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika kiwanja cha michezo kilichopo katika kambi ya polisi ya Mjini Arusha tarehe 08/10/2012. (Picha zote na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
. Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akikagua gwaride lililoandaliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa wakati wa hafla ya makabidhiano ya vyeti kwa askari 37 wa mkoa huu waliofanya vizuri zaidi katika utendaji wao wa kazi za kila siku. Hafla hiyo ilifanyika tarehe 08/10/2012 katika kiwanja cha michezo kilichopo katika moja ya kambi ya jeshi hilo iliyopo Mjini Arusha.
Baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi mkoani hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kunukiwa vyeti na fedha taslimu Tsh laki moja kila mmoja kutokana na utendaji mzuri wa kazi zao za kila siku.
.Kamnada wa Polisi mkoa wa Arusha (ACP) Liberatus Sabas akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Magesa Mulongo ili aweze kutoa vyeti na fedha taslimu Tsh laki moja kwa kila askari ambaye alikuwa amefanya vizuri zaidi katika utendaji wake wa kazi za kila siku.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh.Magesa Mulongo akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jeshi la Polisi wa Mkoa huu mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha michezo kilichopo katika moja ya kambi zilizopo mkoani hapa, kulia kwake ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha (ACP) Liberatus Sabas akimtambulisha viongozi hao.