Monday, October 01, 2012

Airtel Na Equity Bank Yatoa Mikopo Kwa Wafanyabiashara Wadogo Wadogo Machinga Complex



Meneja Mahusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea. Amesema kuwa wataendelea na mikakati ya kusaidia jamii Nyanja mbali mbali za kimaendelea kwa kupitia huduma ya Airtel Money katika mradi wa upatikanaji wa huduma za kifedha kupitia simu ya mkononi.
 Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Machinga Complex, Bw. Abdubakar Rakesh akizungumza katika uzinduzi wa utakaowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo wa soko la machinga complex jijini Dar es Salaam. Mpango huo utawawezesha wamachinga hao kupata mikopo nafuu kwa ajili ua kuendesha na kukuza biashara zao ambapo benki ya Equity kwa kupitia huduma ya Airtel Money na wao kuwa wakifanya marejesho ya mikopo hiyo kwa kutumia Airtel Money.
 Bi. Sara Yohana aliyemwakilisha mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam akisoma risala katika uzinduzi wa utakaowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo wa soko la machinga complex jijini Dar es Salaam.
Umati wa watu waliohudhuria katika uzinduzi wa utakaowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo wa soko la machinga complex jijini Dar es Salaam.