Mshauri Muelekezi kutoka Chuo cha Kikuu cha Ardhi Dr. Huba Nguluma akitoa maelezo kuhusu mradi wawa ujenzi unaoendelea wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililoko Sokoine Drive kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam. Mradi wa nyumba hizi una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25)