Wednesday, September 12, 2012

VIONGOZI MBALIMBALI WAKIJIANDIKISHA KUSHIRIKI MKUTANO WA MAZINGIRA JIJINI ARUSHA LEO.


 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Anna Maembe  (wa kwanza kulia) akijianidkisha kushiriki mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Mazingira barani Afrika ambao unazinduliwa leo jijini Arusha na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Gharib Bilal.
 
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nkoanrua ya wilayani Arumeru ambao ni wadau wa Mazingira shuleni hapo kwa kushirikiana na YVE Tanzania wakisubiri kushiriki Mkutano wa Mazingira leo jijini Arusha.
 
Mwakilishi wa MO BLOG Bw. Mahmoud Ahmad akizungumza na wanafunzi sekondari Nkoanrua ya wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Kwa hisani ya MO BLOG