|
Viongozi wakiwa kwenye meza kuu usiku huo mwenyekitu wa jumuhia ya DMV katikati na mwakirishi wa balozi mwana Mero na msahidizi wa balozi mama Munaka, Usiku huo wa mtanzania ulipabwana na fashion show by Asya Khamsini na Fabak Fashions. Na baada ya hapo watu walikula kunywa na kusakata rhumba lililokuwa linarindimishwa na Dj Luke. |
Mrembo akipita na vazi lililo buniwa na Fabak Fashion.