Taswira:Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiteta jambo na Mbunge wa Ilemela(CHADEMA)Highnes Kiwia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akitaniana na mbunge wa Ilemela, Highnes Kiwia (Chadema), mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Magomeni, Kirumba jijini Mwanza, akiwa ziarani mkoani humo.Picha na Sitta Tumma