Monday, September 10, 2012

MGANGA WA KIENYEJI AUWA MKOANI KAGERA


Wananchi wenye hasira kali leo saa 5 asubuhi wamevamia kituo cha Polisi kilichopo eneo la Kabanga kata ya Muhutwe, wilaya ya Muleba mkoani Kagera na kuvunja sero kisha kumtoa mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kwa uchawi aliyekuwa amehifadhiwa hapo, na kumuua papo hapo. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.

Source:GPL