Sunday, September 16, 2012

MECHI KATI YA TANZANIA PRISONS NA YANGA YAINGIZA MILIONI 50.


 
Mechi ya ligi kati ya Tanzania Prisons na Yanga iliyochezwa jana (Septemba 15 mwaka huu) Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya imeingiza sh. 50,435,000.