Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kamati ya ‘Interparliamentary Unity’ (IPU), wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU) baada ya mazungumzo wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiagana na Mbunge wa Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU), Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya mzungumzo na ujumbe huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR