MAANDAMANO YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA KULAANI MAUAJI YA MWANGOSI
Mtaa wa mshindo
Wakipita mtaa wa uhindini
Mwandishi wa habari wa startv Malembea akiwa amebeba picha kubwa ya marehemu mwangosi Waandishi wa habari wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali Waandishi wa Habari Iringa wakijiandaa kuanza maandamano ya amani