Friday, September 14, 2012

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU DR. MWATANGA IDDI GUNZARETH


 
MAREHEMU DR. MWATANGA IDDI GUNZARETH

MAMA YETU MPENDWA TAREHE 14/9/2012 ANAKUWA AMETIMIZA MIAKA SABA (7) TOKEA AFARIKI DUNIA TAREHE 14/9/2005.

MAMA, TUNAKUKUMBUKA SANA KWA UPENDO WAKO, FADHILA ZAKO, NA UCHESHI WAKO ULIO KUWA NAO NA KUTUPATIA WAKATI WA UHAI WAKO.

MAMA, UNAKUMBUKWA SANA NA WATOTO WAKO WAPENDWA NEEMA NA MASUNGA, WAJUKUU ZAKO, WAKWE ZAKO, NDUGU ZAKO, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WOTE.
MAMA, SISI TULIKUPENDA SANA, LAKINI MWENYEZI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI.
MAMA YETU MPENDWA, TUNAZIDI KUKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI AMEN.

RAHA YA MILELE UMPEE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI AMEN.!