Mwenyekiti wa sasa wa CCM mkoa wa Singida,J oramu Allute (kushoto) akibadilishana mawazo na katibu msaidizi wa CCM mkoa, Mohammed Ndembo.
Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi,Mh. John Lwanji (kushoto) na mjumbe mwanzake wa kamati ya siasa mkoa wa Singida, Nyekele wakibadilishana mawazo.
Mjumbe wa NEC mkoa wa Singida na mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed Gullam Dewji (kushoto) na katibu wa fedha na uchumi mkoa wa Singida, Ahamed Athumani Kaburu wakisubiri kuanza kwa kikao cha kamati ya siasa mkoa wa Singida.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Singida wakisubiri kuanza kwa kikao.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Singida na wagombea nafasi mbalimbali za uongozi, wakibadilishana mawazo nje ya ofisi ya CCM mkoa wakisubiri kuanzwa kwa kikao cha kamati ya siasa.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa mkoa wa Singida na waombaji wa nafasi mbalimbali wakiwa nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Singida wakisubiri kuanza kwa kikao.(Picha zote na Nathaniel Limu).