Monday, September 24, 2012

Jiji la Mbeya linavyozidi kupendeza siku hadi siku



 Hiki ni kituo cha Mabasi yafanyayo safari zake sehemu mbali mbali za ndani ya Jiji la Mbeya,kilichopo eneo la Kabwe.
 Soko mjinga eneo la Makunguru kama unaelekea Ilemi.
 Hili ni jengo jipya kabisa la Soko la Mwanjelwa ambalo ujenzi wake bao unaendele.haijafahamiki ujenza ni lini ujenzi wa soko hili utakamilika.maana taarifa za awali zilisema lingekuwa limekamilika miezi kadhaa iliyopita.
 Eneo la Matiat ambapo kuna njia panda ya kwenda Tunduma,katikati ya mji na ulipo uwanja wa ndege wa Mbeya mjini.eneo hili liko wazi sana ambapo ilipaswa kuwekwa taa za kuongoea magari kama yalivyo maeneo mengine mbali mbali ya namna hii hapa nchini.
 Vikwangua anga navyo vyaanza kushika kasi jijini Mbeya.
 Moja ya majengo yenye kulipendezesha jiji la Mbeya.
 Magari pia ni Mengi sana tofauti na Miaka ya nyuma.