Balozi wa Tanzania Nchi Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na Mumewe Bwn Shariff Maajar (kushoto) katika picha ya pamoja na kiongozi wa Jumuiya ya kiislam DMV (TAMCO) Bwan Mganga Mhombelage kwenye sherehe za Eid zilizofanyia Hillandale na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao wanao toka majimbo ya jirani.
Kushoto ni Afisa Ubalozi Abbas Missana akiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandali (kati) na kiongozi wa Jumuiaya ya Kiislaam DMV (TAMCO), Seif Ameir.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar ( watatu toka kushoto) akiwa na Mumewe Bwan. Shariff Maajar (watatu toka kulia) wakati wa picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) wakati wa sherehe za Eid zailizofanyikia Hillandale Park Jumapili Aug 19, 2012
Juu na chiani ni Mhe. Balozi akiwa na mumewe wakipiga picha ya pamoja na Watanzania walohudhulia katika sherehe za Eid zilizofanyika Jumapili Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Watoto wakifurahia Eid kwa kucheza kwenye Moonbounce
Watoto wakipata picha ya pamoja ndani ya Moonbounce.
Tenti lilitengenezwa maalum kwa sherehe za Eid