Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88 pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM. |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kumuombea dua Marehemu Mzee
Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee
Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa
kada wa siku nyingi wa CCM.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Mzee
Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee
Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada
wa siku nyingi wa CCM.
PICHA NA IKULU