Tuesday, August 07, 2012

FUNDI wa kushona Nguo anahitajika HARAKA

Fundi wa Kushona Nguo anahitajika haraka:

Sifa za Muombaji.

-Awe tayari kusimamia na kuongoza wenzake,
-Awe mbunifu na mwenye kukabiliana na changamoto mbalimbali,
-Asiwe na rekodi ya uharifu,
-Pia awe na vyeti vya chuo kinachotambulika.

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na mambo mengine kuhusu maslahi anaweza kupiga simu 

+255768481886