Mwigizaji maarufu kutoka HollyWood, Mario Van Peebles (katikati) akiangalia burudani mbalimbali katika ukumbi wa ngome Kongwe.
Mwanamuziki kutoka Kenya, Colonel Mustapha akiangusha burudani ya nguvu.
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Wahuu Kagwi akifanya vitu vyake.
Mario (mwenye T-shirt nyeusi) akiserebuka.
Wahuu akiwa kwenye pozi baada ya kushuka jukwaani.
Msanii Mustapha akiwa katika pozi.
Wahuu na Mustapha wakiwa katika picha ya pamoja.
Mwanamuziki kutoka Tanzania, Farid Kubanda akiwa amepozi.
Mwanamuziki Sarah wa Tanzania akiimba kwa madaha.
Tamasha la kitaifa la filamu (ZIFF)
linazidi kufana katika viwanja vya Ngome Kongwe vilivyopo katika visiwa
vya Unguja. Tamasha hilo hufanyika sambamba na burudani kutoka kwa
wanamuziki pamoja na kuangalia filamu kutoka nchi mbalimbali.
(PICHA ZOTE NA IMELDA MTEMA / GPL, ZANZIBAR)
(PICHA ZOTE NA IMELDA MTEMA / GPL, ZANZIBAR)