Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Makamu wa Mwenyekiti wa
Chuo kipya cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science
and Technology’, Prof. Burton Mwamila, wakati leo Julai 27, 2012 akitembelea
mazingira ya Chuo hicho kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni
kilichopo Jijini Arusha. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa
Mkuu wa Chuo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Asha Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa
Mwilongo na Makamu Mwenyekiti wa Chuo cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela
African Instute Of Science and Technology’, Prof. Burton Mwamila, kwa pamoja
wakifurahia mtandao wa mawasiliano kwa njia ya Video unaowawezesha wanafunzi
kuonana na kuzungumza na kuchangia masomo kutoka sehemu tofauti ndani na nje ya
mkoa huo wa Arusha, wakati Makamu
alipofika chuoni hapo leo Julai 27, 2012 kutembelea na kukagua chuo hicho
kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni. Makamu wa Rais
ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chuo
cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and
Technology’, Prof. Burton Mwamila, wakati akimfafanulia kuhusu kazi za maabala
mpya inayoandaliwa katika Chuo hicho wakati Makamu alipofika chuoni hapo leo
Julai 27, 2012 kutembelea na kukagua chuo hicho kinachotarajia kuanza kusajili
wanafunzi hivi karibuni. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa
Mkuu wa Chuo hicho. Kushoto kwake ni mkewe Mama Asha Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chuo
cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and
Technology’, Prof. Burton Mwamila, kuhusu matuzmi ya baadhi ya majengo yaliyopo
katika Chuo hicho, wakati Makamu alipofika chuoni hapo leo Julai 27, 2012 kutembelea
na kukagua chuo hicho kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni. Makamu
wa Rais ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho. Picha na Muhidin
Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais