Monday, July 02, 2012

HISPANIA YAICHACHAFYA ITALIA, YATWAA KOMBE LA EURO 2012

Nahodha wa Hispania, Iker Casillas akiwa ameinua kombe la Euro 2012 wakati akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kutwaa kombe hilo kwa kuwafunga Italia bao 4-0 kwenye fainali iliyopigwa katika uwanja wa Olympic mjini Kiev, Ukraine leo. (Picha kwa hisani ya Getty Images)