Monday, July 23, 2012

Ajali ya MV Skagit: Waziri Zanzibar ajiuzulu


  
Monday, 23 July 2012 19:27


























Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu mjini Zanzibar,  Hamad Masoud amejiuzulu wadhifa wake baada ya kuwepo kwa shinikizo la kuachia ngazi lilitoka kwa wananchi.

Hatua hii imekuja kufuatia madai ya wananchi kuwa ajali za meli zimekuwa zikiongezeka mjini Zanzibar bila yeye kuchukua hatua.

Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye

Source: Mwananchi.