Sunday, June 24, 2012

PICHA - JINSI POLISI WALIVYOZUIA MAANDAMANO DONGE ZANZIBAR

 
Jamani hayo ndio madhara ya Mabomu
 
Madhara ya Mabomu
 
Mwanamke hakufahamika kwa jina akiwa amenyanyua Bendera
Wazee wa Mujini, aka wazee wa kazi wakiwa kwenye utekelezaji wa kulinda usalama wa watu na Mali zao. Nani anabisha, chezea wewe uipate kitu fresh.


donge
Tukio la Mahonda kabla ya kufika Donge jeshi la polisi lilipotumia nguvu dhidi ya waumini waliokuwa wakenda katika mhadhara uliopangwa kufanyika katika moja ya misikiti ya Donge.