Kama kawaida ulinzi ulikuwa mkali mahakamani hapo.
Gari lililompakia Lulu likimrudisha Segerea.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeshindwa
kumpandisha kizimbani msanii wa filamu za maigizo, Elizabeth Michael
‘Lulu’, aliyepangiwa kufika mahakamani hapo leo baada ya kutokea mvutano
wa kisheria kati ya upande wa mashitaka na utetezi. Msanii huyo
alifikishwa kwenye mahabusu ya mahakama hiyo na kisha kurudishwa
Segerea.
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)