Sunday, May 20, 2012

CHELSEA BINGWA UEFA

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na kombe lao, baada ya kuifunga Bayern Munich kwa jumla ya penalti 4-3, katika mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya iliyopigwa kwenye Uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich jana usiku.

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba (katikati) akishangilia na kombe baada ya timu yake kuifunga Bayern Munich kwa penalti 4-3.

Picha zote kwa hisani ya GettyImages.