VIGEZO NA WAJIBU
· UMRI MIAKA 18 NA KUENDELEA
· MKARIMU, MCHESHI NA RAFIKI WA WATU WOTE
· MWENYE MOYO WA KUJITUMA HATA ZAIDI YA MASAA YA KAZI
· MWENYE MAONO YA KUJIAJILI NA KUAJILI WENGINE SIKU ZA USONI
· MWENYE KUTAFUTA AJIRA SIYO ALIYE NA AJIRA ANATAFUTA NYINGINE
· MWENYE UZOEFU WA KUFANYA MAUZO NA KUJISIMAMIA MWENYEWE KATIKA KAZI
· MWENYE UWEZO WA UDADISI NA UTHUBUTU KWA VITENDO
· MWENYE MALENGO YA KUKUZA KIPATO BINAFSI KWA MUDA MFUPI
· KAMA UNAVIGEZO HIVYO FANYA HIMA BILA KUCHELEWA PASIPO KUJALI NGAZI YAKO YA ELIMU WALA TOFAUTI YOYOTE UNAYOJIJENGEA NDANI YA JAMII
MSHAHARA: MZURI NA GAWIO LA ASILIMIA 30 TOKA KATIKA KILA UZO KWA SIKU.
TUMA WASIFU WAKO AMA ANDIKA MESEJI UKIJIELEZA KWA KIFUPI KUPITIA MAWASILIANO HAYA;
amsha.tanzania@gmail.com
info@amshatanzania.org
+255 717 94 60 94
NUKUU MUHIMU: USIPIGE SIMU, UKIPIGA UTAKUWA UMEJIENGUA MWENYEWE
ZIADA: WALE WENYE KUKIDHI VIGEZO NDIYO WATAITWA KWA USAILI.