Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanatangaza matokeo rasmi sasa hivi kula halali: 60038
Zilizokataliwa 661
Wagombea:
Mazengo Adam (AFP) 139
Charles Msuya (UDP) 18
TLP 18
Kirita Shauri Moyo 22
Hamisi Kiemi 35
Mohammed DP 77
Sumari Solomon 26757
Nassari Joshua 32,972
Mungu yupo upande wetu CHADEMA, na hii ni indicator tu ya 2015, hakuna
cha mkapa wala wassira, Lowasa wala nani, kilichoangaliwa ni sera!