Baadhi
yaa Waombolezaji wa msiba wa Steven Charles Kanumba wakiwasili kwenye
Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam mchana huu kwa tendo la
kuuhifadhi mwili wa Marehemu katika nyumba yake ya Milele.
Eneo
litakalowekwa jeneza lenye mwili wa Marehemu Steven Kanumba kwa ajili
ya kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,mchana huu.
Mwili ukiwasili kwenye Makaburi ya Kinondoni.
Jeneza Lenye Mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba ukiingizwa kaburini.
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Charles Kanumba akiwasili Makaburini huku akiwa ameambatana na Dada Asha Baraka.