Saturday, April 07, 2012

MSIBA WA KANUMBA: NI VILIO MUHIMBILI

Wasanii wakiomboleza.
Ni simanzi tupu kutoka kwa wasanii.
Irene Paul akilia kwa uchungu
Mashabiki wakipiga kelele huku wakitaka kuelezwa chanzo cha kifo cha Kanumba
Baadhi ya waombolezaji wakiamisha vifaa kwa ajili ya kupata nafasi ya kukaa.


Ilikuwa ni vilio, simanzi isiyo na kifani kuanzia saa 6 usiku wa kuamkia leo kutoka kwa wasanii na wadau mbalimbali waliokwenda kushuhudia msiba wa msanii mkongwe wa filamu, Steven Kanumba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili dakika chache baada ya mwili huo kufikishwa hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi.
Picha/habari: Erick Evarist na Gladness Mallya 

Kwa hisani ya GLOBAL PUBLISHERS