Monday, April 09, 2012

BREAKING NEWS: NDEGE YA ATC YAANGUKA KIGOMA

 

Taarifa tulizopata muda mchache uliopita kutoka mkoani Kigoma zinasema kuwa ndege ya Shirika la ATC imepata ajali muda mchache uliopita huku chanzo cha ajali kikiwa bado hakijafahamika.

Pia imethibitika kuwa ndege hiyo imeanguka wakati ilipokuwa inataka kupaa kwenye uwanja wa ndege Kigoma. Abiria wote 35 wamenusurika kifo