Friday, March 30, 2012

Kampeni za Arumeruzi zimevuka mipaka ya maadlili ya kijamii...matusi ya nguoni

Jamani,

Kama chama chetu kikukuu ndio kimefikia hapa basi nashawishika kurudisha kadi na kukaa bila uanachama wa chama. Ni ngumu kuamini huyu ni kiongozi wa wananchi anatukana matusi makubw aya nguoni hivi kwenye kadamanasi na polisi wamezunguka kwa ulinzi hawamfanyi kitu.

Sikiliza hii link ya youtube.