Saturday, January 14, 2012

Sad News - Regia Mtema Afariki Dunia Kwa Ajali

Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.

Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake.

Source: JF