Mihangaiko | Hapa na Pale
Hapa na Pale Katika Maisha
Friday, April 29, 2011
Matokeo ya kidato cha sita yametoka
Haya sasa hayawi hayawi sasa yamekua, matokeo ya kidato cha sita hayo yameshatoka.
Tembelea hii link
http://196.44.162.33/necta2011/Alevel.htm
Hongera sana Shemeji yangu kwa kuwa wa pili kitaifa. Big up! Kwa kweli nimefurahi sanaaaa, umenikumbusha enzi za shule.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu,Ibariki Afrika
Newer Post
Older Post
Home