Friday, April 22, 2011

Mateso ya Yesu na orijino komedi

Nawatakieni Ijumaa Kuu njema na yenye Baraka.

Na wakati tunaelekea kwenye sikukuu ya pasaka naomba utafakari mateso yake Bwana Yesu kama ilivyoimba na Mabibo Lutheran(KKKT) na hapa tunaona vijana akina Mkaandmizaji,Mpoki, Joti na wenzake wakirudia kwa aina yake.

Nini unajifunza?