Saturday, April 09, 2011

DDC Mlimani Park - Neema

Enzi zile jamani, kulikuwa na kitu hiki kutoka DDC Mlimani kinaitwa Neema, duh jamaa anajua kubembeleza kweli.

Huku roho ilimuuma kusikia yule Bwana wake wa na Neema kumbe yupo, sasa pata kitu hicho.



Neema.