Friday, November 05, 2010

Angalizo

Marafiki zangu wote mnaoangalia Blog hii mtanikosa baadhi ya siku kwani sehemu niliyopo ni jangwani hata mtandao unapatikana kiaina. Naomba mvute subira mara nikipata fursa nitawawekea picha za jangwani. Ni jangwa yani sio pale Dar mnapaita Jangwani, hasha, is real desert area is Saudi Arabia. Kuna project fulani hivi naifanya.


Poleni kwa usumbufu wote utakaojitokeza.