Habari za Jumapili,
Kwa wenye wanaohitaji nyumba ya kupangisha soma hapa.
"Nyumba Nzuri iko Boko National Housing ya vyumba 3,1 Master Bedroom,Car Parking Kubwa,Kitchen,Sitting Room,Space Kubwa Nje,Mandhari ya kuvutia na Upepo mwanana wa Bahari,Kwa bei ya shlingi 150,000/= tu inapangishwa.
Kwa Mawasiliano Zaidi piga 0715 934693,0715166766,0754 934693,0753 393934
DON`T MISS THIS OPPORTUNITY...