Sunday, March 13, 2016

CIARA ACHUMBIWA NA MPENZI WAKE RUSSELL WILSON



CIARA ACHUMBIWA NA MPENZI WAKE RUSSELL WILSON
ciara-russell-wilson-engagement
Russell Wilson amemchumbia Ciara.

Ciara ametangaza habari hizo njema kwenye Twitter.
Kabla ya hapo wawili hao walikuwa wamejiwekea nadhiri kutofanya mapenzi hadi watakapofunga ndoa.