Friday, January 16, 2015

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA

Mhandisi  Emmanuel Kiobya akiwaelezeaa wandishi wa habari matatizo  yaliyojitokeza ya wizi 

Mhandisi Emmanuel Kiobya akiwaelezeaa wandishi wa habari matatizo  yaliyojitokeza ya wizi

Mhandisi Emmanuel Kiobya akiongea na wandishi wa habari

wakitembelea eneo la kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichpo  eneo la Kiwalani 

wakitembelea eneo la kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichpo  eneo la Kiwalani 

wakitembelea eneo la kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichpo  eneo la Kiwalani 

Kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichpo  eneo la Kiwalani 

Wanahabarinwakitembezwa  eneo la kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichpo  eneo la Kiwalani

Mhandisi Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini 

Mhandisi Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini 

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini

Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na wanaodaiwa kuwa wezi  waliofika katika kituo hicho na kufanya uharibifun

Enginia Emmanuel Manirabona akiwa kati eneo la kipawa akionyesha kwa wandishi wa habari sehem mbalimbali za kituo cha kipawa 

Mhandisi Emmanuel Manirabona akiwa kati eneo la Kipawa

wafanyakazi wa kituo cha kusafirishia na,Changome  kupelekea umeme katika maeneo ya Changome ,Buguruni ,Tandika wakiwa kazini

Mhandisi Emmanuel Manirabona akiwa na afisa uhusiano Leilawakiwatembeza wandishiwa habari kuona uovu uliofanywa na watu wasiojulikana kuiba nyaya za umeme

Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha kusafgiriashia na kupelekea umeme kilichopo eneo la kipawa 

Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha kusafiriashia na kupelekea umeme kilichopo eneo la Kipawa

Mhandisi Emmanuel Manirabona afisa usafirishaji akitoka katika chumba cha kuhifadhia mitambo ya umeme iliyopo chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishiwa habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo